Psalms 89:4 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
‘Daima nitamweka mzawa wako kuwa mfalme, tena nitaudumisha ufalme wako milele.’”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wazao wako nitawafanya imara milele, Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
‘Daima nitamweka mzawa wako kuwa mfalme, tena nitaudumisha ufalme wako milele.’”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
‘Nitaimarisha uzao wako milele na kudumisha ufalme wako kwa vizazi vyote.’ ”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wazao wako nitawaimarisha milele, Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
‘Daima nitamweka mzawa wako kuwa mfalme, tena nitaudumisha ufalme wako milele.’”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ukasema: Niliagana naye niliyemchagua, mtumishi wangu Dawidi nikamwapia kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wazao wako nitawafanya imara milele, Nitakijenga kiti chako cha enzi hata milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe umesema: “Nimefanya agano na muchaguliwa wangu, nimemwapia mutumishi wangu Daudi hivi: