Psalms 89:40 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kuta zote za mji wake umezibomoa; ngome zake umezivunjavunja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umebomoa kuta zake zote, na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeyabomoa maboma yake yote, Umezifanya ngome zake kuwa magofu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kuta zote za mji wake umezibomoa; ngome zake umezivunjavunja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umebomoa kuta zake zote na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umebomoa kuta zake zote, na ngome zake zote umezifanya kuwa magofu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeyabomoa maboma yake yote, Umezifanya ngome zake kuwa magofu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kuta zote za mji wake umezibomoa; ngome zake umezivunjavunja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Agano, uliloliagana na mtumishi wako, umeliacha, urembo wake wa kichwani umeuchafua na kuutupa chini.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeyabomoa maboma yake yote, Umezifanya ngome zake kuwa magofu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umefuta agano ulilofanya na mutumishi wako; umeitupa taji yake ya kifalme ndani ya mavumbi.