Psalms 89:41 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wote wapitao wanampokonya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wapitao karibu wamemnyang’anya mali yake; amekuwa dharau kwa majirani zake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wote wapitao njiani wanateka mali zake; Amekuwa laumu kwa jirani zake;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wote wapitao wanampokonya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wapitao karibu wamemnyang'anya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wapitao karibu wamemnyang’anya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wote wapitao njiani wanateka mali zake; Amedharauliwa na jirani zake;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wote wapitao wanampokonya mali zake; amekuwa dharau kwa jirani zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umevivunja vitalu vyake vyote pia, maboma yake yote umeyatoa, yabomolewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wote wapitao njiani wanateka mali zake; Amekuwa laumu kwa jirani zake;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umebomoa kuta zote za muji wake; umezivunjavunja nafasi zake za kukimbilia.