Psalms 89:42 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui zake umewapa ushindi; umewafurahisha maadui zake wote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake, umewafanya watesi wake wote washangilie.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeutukuza mkono wa kuume wa watesi wake; Umewafurahisha wote wanaomchukia.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui zake umewapa ushindi; umewafurahisha maadui zake wote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake, umewafanya watesi wake wote washangilie.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeutukuza mkono wa kuume wa adui zake, umewafanya watesi wake wote washangilie.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeutukuza mkono wa kuume wa watesi wake; Umewafurahisha wote wanaomchukia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui zake umewapa ushindi; umewafurahisha maadui zake wote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wote wapitao njia wanajipatia mateka papo hapo, naye amegeuka kuwa mtu wakusimangwa tu kwao, aliokaa nao.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeutukuza mkono wa kuume wa watesi wake; Umewafurahisha wote wanaomchukia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wote wanaopita wanaiba mali zake; wajirani zake wanamuzarau.