Psalms 89:43 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Pia umeurudisha nyuma ukali wa upanga wake; Wala hukumsimamisha vitani.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umegeuza makali ya upanga wake na hukumpa msaada katika vita.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umegeuza makali ya upanga wake, na hukumpa msaada katika vita.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Pia umeurudisha nyuma ukali wa upanga wake; Wala hukumsimamisha vitani.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Silaha zake umezifanya butu; ukamwacha ashindwe vitani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umeikweza mikono yao ya kuume wao wamsongao, adui zake wote umewafurahisha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Pia umeurudisha nyuma ukali wa upanga wake; Wala hukumsimamisha vitani.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umewapatia waadui ushindi; umewafurahisha waadui zake wote.