Psalms 89:47 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ukumbuke, ee Bwana, ufupi wa maisha yangu; kwamba binadamu uliyemuumba anaishi muda mfupi!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu!
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ukumbuke jinsi mimi nisivyo wa kudumu; Kwa ubatili gani umeiumba jamii ya wanadamu!
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ukumbuke, ee Bwana, ufupi wa maisha yangu; kwamba binadamu uliyemuumba anaishi muda mfupi!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. Ni ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu!
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kumbuka jinsi maisha yangu yanavyopita haraka. Ni kwa ubatili kiasi gani umemuumba mwanadamu!
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ukumbuke jinsi mimi nisivyo wa kudumu; Kwa ubatili gani umeiumba jamii ya wanadamu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ukumbuke, ee Bwana, ufupi wa maisha yangu; kwamba binadamu uliyemuumba anaishi muda mfupi!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, utajificha hivyo mpaka lini? Moto wa makali yako uwake kale na kale?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ukumbuke jinsi mimi nisivyo wa kudumu; Kwa ubatili gani umeiumba jamii ya wanadamu!
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, utajificha hata milele? Mpaka wakati gani hasira yako itawaka kama moto?