Psalms 89:49 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Bwana, ziko wapi basi fadhili zako, ulizomwapia Daudi kwa uaminifu wako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, zi wapi fadhili zako za kwanza, Ulizomwapia Daudi kwa uaminifu wako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, ziko wapi basi fadhili zako, ulizomwapia Daudi kwa uaminifu wako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, uko wapi upendo wako mkuu wa mwanzoni, ambao katika uaminifu wako ulimwapia Daudi?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana, ziko wapi fadhili zako za kwanza, Ulizomwapia Daudi kwa uaminifu wako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, ziko wapi basi fadhili zako, ulizomwapia Daudi kwa uaminifu wako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ni mtu gani anayekuwapo pasipo kuona kufa? Ni mtu gani atakayeiopoa roho yake katika nguvu za kuzimuni?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana, zi wapi fadhili zako za kwanza, Ulizomwapia Daudi kwa uaminifu wako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ni mutu gani anayeweza kuishi pasipo kufa? Nani anayeweza kujiepusha na kifo?