Psalms 89:5 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mbingu na zisifu maajabu yako, ee Mwenyezi-Mungu; uaminifu wako usifiwe katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, mbingu zinayasifu maajabu yako, uaminifu wako pia katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana, mbingu zitayasifu maajabu yako, Uaminifu wako katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mbingu na zisifu maajabu yako, ee Mwenyezi-Mungu; uaminifu wako usifiwe katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, mbingu zinayasifu maajabu yako, uaminifu wako pia, katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, mbingu zinayasifu maajabu yako, uaminifu wako pia katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ee BWANA, mbingu zitayasifu maajabu yako, Uaminifu wako katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mbingu na zisifu maajabu yako, ee Mwenyezi-Mungu; uaminifu wako usifiwe katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walio uzao wako nitawatia nguvu kale nakale, nikijenge kiti chako cha ufalme, kiwe cha vizazi na vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA, mbingu zitayasifu maajabu yako, Uaminifu wako katika kusanyiko la watakatifu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
‘Siku zote nitamuweka mumoja wa wazao wako kuwa mufalme, tena nitaudumisha ufalme wako milele.’ ”