Psalms 89:51 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ona wanavyomzomea, ee Mwenyezi-Mungu; jinsi wanavyomdhihaki mteule wako kila aendako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
dhihaka ambazo kwazo adui zako wamenisimanga, Ee Mwenyezi Mungu, ambazo kwazo wamesimanga kila hatua ya mpakwa mafuta wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ambayo adui zako wamesimanga, Ee Bwana, Naam, wamezisimanga hatua za masihi
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ona wanavyomzomea, ee Mwenyezi-Mungu; jinsi wanavyomdhihaki mteule wako kila aendako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
dhihaka ambazo kwazo adui zako wamenisimanga, Ee BWANA, ambazo kwazo wamesimanga kila hatua ya mpakwa mafuta wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
dhihaka ambazo kwazo adui zako wamenisimanga, Ee bwana, ambazo kwazo wamesimanga kila hatua ya mpakwa mafuta wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ambayo adui zako wamesimanga, Ee BWANA, Naam, wamezisimanga hatua za masihi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ona wanavyomzomea, ee Mwenyezi-Mungu; jinsi wanavyomdhihaki mteule wako kila aendako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakumbuke, Bwana, watumishi wako, jinsi wanavyosimangwa! Nayavumilia moyoni mwangu mabezo yamakabila yote, nayo ni mengi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ambayo adui zako wamesimanga, Ee BWANA, Naam, wamezisimanga hatua za masihi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Bwana, ukumbuke matusi ya mutumishi wako, jinsi ninavyovumilia mazarau ya mataifa.