Psalms 89:52 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asifiwe Mwenyezi-Mungu milele! Amina! Amina!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ahimidiwe Mwenyezi Mungu milele! Amen na Amen.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na ahimidiwe Bwana milele. Amina na Amina.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Asifiwe Mwenyezi-Mungu milele! Amina! Amina!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Msifuni BWANA milele! Amen na Amen.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Msifuni bwana milele! Amen na Amen.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na ahimidiwe BWANA milele. Amina na Amina.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asifiwe Mwenyezi-Mungu milele! Amina! Amina!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, ndivyo, wanavyokusimanga wachukivu wako, tena ndivyo, wanavyozisimanga nazo nyayo zake, uliyempaka mafuta!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na ahimidiwe BWANA milele. Amina na Amina.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, ona jinsi wanavyomuzomea muchaguliwa wako. Wanamuzomea kila fasi anapokwenda.