Psalms 89:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani mbinguni awezaye kulinganishwa nawe ee Mwenyezi-Mungu? Nani aliye sawa nawe kati ya viumbe vya mbinguni?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa ni nani katika mbingu anayeweza kulinganishwa na Mwenyezi Mungu? Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni aliye kama Mwenyezi Mungu?
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ni nani katika mbingu awezaye kulinganishwa na Bwana? Ni nani afananaye na Bwana miongoni mwa malaika?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani mbinguni awezaye kulinganishwa nawe ee Mwenyezi-Mungu? Nani aliye sawa nawe kati ya viumbe vya mbinguni?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa ni nani katika mbingu juu anayeweza kulinganishwa na BWANA? Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni aliye kama BWANA?
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa ni nani katika mbingu anayeweza kulinganishwa na bwana? Ni nani miongoni mwa viumbe vya mbinguni aliye kama bwana?
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ni nani katika mbingu awezaye kulinganishwa na BWANA? Ni nani afananaye na BWANA miongoni mwa malaika?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani mbinguni awezaye kulinganishwa nawe ee Mwenyezi-Mungu? Nani aliye sawa nawe kati ya viumbe vya mbinguni?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, mbingu zilipoyatukuza mataajabu yako, Bwana, welekevu wako ukatukuzwa nao kwenye mkutano wa watakatifu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ni nani katika mbingu awezaye kulinganishwa na BWANA? Ni nani afananaye na BWANA miongoni mwa malaika?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, mbingu zinasifia maajabu yako, uaminifu wako unasifiwa katika kusanyiko la watakatifu.