Psalms 89:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe waogopwa katika baraza la watakatifu; wote wanaokuzunguka wanatiwa hofu kuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Katika kusanyiko la watakatifu, Mungu huogopwa sana, anahofiwa kuliko wote wanaomzunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mungu huogopwa sana barazani pa watakatifu, Ni wa kuhofiwa kuliko wote wanaomzunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe waogopwa katika baraza la watakatifu; wote wanaokuzunguka wanatiwa hofu kuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Katika kusanyiko la watakatifu Mungu huogopwa sana, anahofiwa kuliko wote wanaomzunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Katika kusanyiko la watakatifu, Mungu huogopwa sana, anahofiwa kuliko wote wanaomzunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mungu huogopwa sana barazani pa watakatifu, Ni wa kuhofiwa kuliko wote wanaomzunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe waogopwa katika baraza la watakatifu; wote wanaokuzunguka wanatiwa hofu kuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani kule mawinguni yuko nani aliye mkuu kama Bwana? Nako kwenye wana wa Kimungu yuko nani afananaye na Bwana?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mungu huogopwa sana barazani pa watakatifu, Ni wa kuhofiwa kuliko wote wanaomzunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani katika mbingu anayeweza kulinganishwa nawe, ee Yawe? Nani anayekuwa sawa nawe kati ya miungu?