Psalms 89:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, ni nani mwenye nguvu kama wewe, ee Mwenyezi-Mungu? Uaminifu umekuzunguka pande zote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Bwana Mwenyezi Mungu, Mungu wa majeshi ya mbinguni, ni nani aliye kama wewe? Ee Mwenyezi Mungu, wewe ni mwenye nguvu, na uaminifu wako unakuzunguka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, Mungu wa majeshi, Ni nani aliye hodari kama Wewe, Ee YAHU? Na uaminifu wako unakuzunguka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, ni nani mwenye nguvu kama wewe, ee Mwenyezi-Mungu? Uaminifu umekuzunguka pande zote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA Mwenye Nguvu Zote, ni nani aliye kama wewe? Ee BWANA, wewe ni mwenye nguvu, na uaminifu wako unakuzunguka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana Mwenye Nguvu Zote, ni nani aliye kama wewe? Ee bwana, wewe ni mwenye nguvu, na uaminifu wako unakuzunguka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA, Mungu wa majeshi, Ni nani aliye hodari kama Wewe, Ee YAHU? Na uaminifu wako unakuzunguka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Mwenyezi-Mungu, Mungu wa majeshi, ni nani mwenye nguvu kama wewe, ee Mwenyezi-Mungu? Uaminifu umekuzunguka pande zote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Watakatifu wakusanyikapo, Mungu huogopesha, nao wote wamzungukao hushikwa na woga.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, Mungu wa majeshi, Ni nani aliye hodari kama Wewe, Ee YAHU? Na uaminifu wako unakuzunguka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wewe unatisha katika baraza la watakatifu; wote wanaokusanyika mbele yako wanakuheshimu na kukuogopa.