Psalms 89:9 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wewe watawala machafuko ya bahari; mawimbi yake yakiinuka, wayatuliza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wewe unatawala bahari yenye msukosuko; mawimbi yake yanapoinuka, wewe unayatuliza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe ndiwe ukitawalaye kiburi cha bahari. Mawimbi yake yainukapo wayatuliza Wewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wewe watawala machafuko ya bahari; mawimbi yake yakiinuka, wayatuliza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wewe unatawala bahari yenye msukosuko; wakati mawimbi yake yanapoinuka, wewe unayatuliza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wewe unatawala bahari yenye msukosuko; wakati mawimbi yake yanapoinuka, wewe unayatuliza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe ndiwe ukitawalaye kiburi cha bahari. Mawimbi yake yainukapo, wewe unayatuliza.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wewe watawala machafuko ya bahari; mawimbi yake yakiinuka, wayatuliza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana Mungu Mwenye vikosi, yuko nani aliye hivyo, ulivyo? U Bwana mwenye nguvu, welekevu wako unakuzunguka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe ndiwe ukitawalaye kiburi cha bahari. Mawimbi yake yainukapo wayatuliza Wewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, Mungu wa majeshi, ni nani mwenye nguvu kama wewe? Ee Yawe, uaminifu umekuzunguka pande zote.