Psalms 9:1 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo wa Muth-labeni. Zaburi ya Daudi) Nitakushukuru Mungu kwa moyo wangu wote; nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitakushukuru Mungu kwa moyo wangu wote; nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Kwa Mwimbishaji: Mtindo Wa Muth-Labeni. Zaburi Ya Daudi) Ee BWANA, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, nitakutukuza kwa moyo wangu wote, nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitakushukuru Mungu kwa moyo wangu wote; nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote, nitayasimulia mataajabu yako, uliyoyafanya yote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitamshukuru BWANA kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa mukubwa wa waimbaji. Kwa mutindo wa wimbo “Kilio cha mwana.”