Psalms 9:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaokujua wewe, ee Mungu hukutegemea, wewe Mwenyezi-Mungu huwatupi wakutafutao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe, kwa maana wewe Mwenyezi Mungu, hujawaacha kamwe wanaokutafuta.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, Bwana hukuwaacha wakutafutao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaokujua wewe, ee Mungu hukutegemea, wewe Mwenyezi-Mungu huwatupi wakutafutao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe, kwa maana wewe BWANA, hujawaacha kamwe wakutafutao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe, kwa maana wewe bwana, hujawaacha kamwe wakutafutao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaokujua wewe, ee Mungu hukutegemea, wewe Mwenyezi-Mungu huwatupi wakutafutao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Walijuao Jina lako watakuegemea, kwani wanaokutafuta, Bwana, huwaachi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakujuao jina lako wakutumaini Wewe, Maana Wewe, BWANA hukuwaacha wakutafutao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe ni kikingio cha watu wanaoonewa; yeye ni kikingio katika nyakati za taabu.