Psalms 9:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwimbieni sifa Mwenyezi-Mungu akaaye Siyoni. Yatangazieni mataifa mambo aliyotenda!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwimbieni Mwenyezi Mungu sifa, amefanywa mtawala Sayuni, tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwimbieni Bwana akaaye Sayuni, Yatangazeni kati ya watu matendo yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwimbieni sifa Mwenyezi-Mungu akaaye Siyoni. Yatangazieni mataifa mambo aliyotenda!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwimbieni BWANA sifa, amefanywa mtawala Sayuni, tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwimbieni bwana sifa, amefanywa mtawala Sayuni, tangazeni miongoni mwa mataifa, yale aliyoyatenda.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwimbieni BWANA akaaye Sayuni, Yatangazeni kwa watu matendo yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwimbieni sifa Mwenyezi-Mungu akaaye Siyoni. Yatangazieni mataifa mambo aliyotenda!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mshangilieni Bwana akaaye Sioni! Tangazeni matendo yake kwenye makabila ya watu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwimbieni BWANA akaaye Sayuni, Yatangazeni kati ya watu matendo yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanaojua jina lako, wanakutegemea, kwa maana wewe, ee Yawe, hauwatupi wanaokutafuta.