Psalms 9:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mungu hulipiza kisasi kwa umwagaji damu; kamwe hasahau kilio cha wanaoonewa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana yeye anayelipiza kisasi cha damu hukumbuka, hapuuzi kilio cha wanaoonewa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mungu hulipiza kisasi kwa umwagaji damu; kamwe hasahau kilio cha wanaoonewa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka, hapuuzi kilio cha wanaoonewa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana yeye alipizaye kisasi cha damu hukumbuka, hapuuzi kilio cha wanaoonewa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mungu hulipiza kisasi kwa umwagaji damu; kamwe hasahau kilio cha wanaoonewa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kuwa ni mwenye kulipiza damu, huwakumbuka, malalamiko yao wakiwa hayasahau.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana mlipiza kisasi cha damu awakumbuka, Hakukisahau kilio cha wanyonge.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mumwimbie sifa Yawe anayekaa Sayuni! Muyatangazie mataifa mambo aliyotenda!