Psalms 9:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Unirehemu, ee Mwenyezi-Mungu! Ona mateso ninayoteswa na wanaonichukia; wewe waninyakua kutoka nguvu za kifo,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa! Nihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, Bwana, unifadhili, Tazama mateso niteswayo na wanaonichukia; Wewe uniinuaye katika malango ya mauti,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Unirehemu, ee Mwenyezi-Mungu! Ona mateso ninayoteswa na wanaonichukia; wewe waninyakua kutoka nguvu za kifo,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa! Unihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, tazama jinsi walivyo wengi adui zangu wanaonitesa! Nihurumie, uniinue kutoka malango ya mauti,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, BWANA, unifadhili, Tazama mateso niteswayo na wanaonichukia; Wewe uniinuaye katika malango ya mauti,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Unirehemu, ee Mwenyezi-Mungu! Ona mateso ninayoteswa na wanaonichukia; wewe waninyakua kutoka nguvu za kifo,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nihurumie, Bwana, ukitazama, ninavyoteswa nao wanaonichukia! Maana aliyenikweza na kunitoa malangoni mwa kufa ni wewe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, BWANA, unifadhili, Tazama mateso niteswayo na wanaonichukia; Wewe uniinuaye katika malango ya mauti,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mungu analipiza kisasi cha damu iliyomwangwa; wala hasahau hata kidogo kilio cha wenye kuonewa.