Psalms 9:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nisimulie sifa zako mbele ya watu wa Siyoni, nipate kushangilia kwa sababu umeniokoa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni, na huko niushangilie wokovu wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ili nizisimulie sifa zako zote; Katika malango ya binti Sayuni Nitaufurahia wokovu wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nisimulie sifa zako mbele ya watu wa Siyoni, nipate kushangilia kwa sababu umeniokoa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni na huko niushangilie wokovu wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ili niweze kutangaza sifa zako katika malango ya Binti Sayuni na huko niushangilie wokovu wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ili nizisimulie sifa zako zote; Katika malango ya binti Sayuni Nitaufurahia wokovu wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nisimulie sifa zako mbele ya watu wa Siyoni, nipate kushangilia kwa sababu umeniokoa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo nitayasimulia matukuzo yako yote malangoni mwa binti Sioni na kupiga vigelegele, kwa sababu umeniokoa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ili nizisimulie sifa zako zote; Katika malango ya binti Sayuni Nitaufurahia wokovu wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, wewe unayeniopoa kutoka nguvu za kifo, uangalie mateso wale wanaonichukia wanayoniletea na kunirehemu