Psalms 9:16 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu amejionesha alivyo; ametekeleza hukumu. Watu waovu wamenaswa kwa matendo yao wenyewe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anajulikana kwa haki yake, waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana amejidhihirisha na kutekeleza hukumu; Amemnasa mdhalimu kwa kazi ya mikono yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu amejionesha alivyo; ametekeleza hukumu. Watu waovu wamenaswa kwa matendo yao wenyewe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anajulikana kwa haki yake, waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anajulikana kwa haki yake, waovu wamenaswa katika kazi za mikono yao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA amejidhihirisha na kutekeleza hukumu; Amemnasa mdhalimu kwa kazi ya mikono yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu amejionesha alivyo; ametekeleza hukumu. Watu waovu wamenaswa kwa matendo yao wenyewe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hivyo Bwana hujulika anapofanya hukumu, huwanasa kwa kazi za mikono yao wao wasiomcha.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA amejidhihirisha na kutekeleza hukumu; Amemnasa mdhalimu kwa kazi ya mikono yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mataifa yameanguka katika shimo walilochimba, miguu yao imenaswa kwenye wavu waliotega.