Psalms 9:17 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Waovu wataishia kuzimu; naam, mataifa yote yanayomsahau Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Waovu wataishia Kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wadhalimu watarejea kuzimu, Naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Waovu wataishia kuzimu; naam, mataifa yote yanayomsahau Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Waovu wataishia kuzimu, naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wadhalimu wataenda kuzimu, Naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Waovu wataishia kuzimu; naam, mataifa yote yanayomsahau Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wasiomcha Mungu watarudi kuzimuni, nao wamizimu wote pamoja nao wanaomsahau Mungu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wadhalimu watarejea kuzimu, Naam, mataifa yote wanaomsahau Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe amejitambulisha; anatoa hukumu. Waovu wamenaswa kwa matendo yao wenyewe.