Psalms 9:18 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini fukara hawatasahauliwa daima; tumaini la maskini halitapotea milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana mhitaji hatasahauliwa daima; Matumaini ya wanyonge hayatapotea milele.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini fukara hawatasahauliwa daima; tumaini la maskini halitapotea milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini mhitaji hatasahaulika siku zote, wala matumaini ya walioonewa hayatapotea.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana mhitaji hatasahauliwa daima; Matumaini ya wanyonge hayatapotea milele.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini fukara hawatasahauliwa daima; tumaini la maskini halitapotea milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani mkiwa hasahauliwi kale na kale, wala kingojeo chao wanyonge hakiangamii zamani zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana mhitaji hatasahauliwa daima; Matumaini ya wanyonge hayatapotea milele.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waovu wataishia katika kuzimu; ndiyo mataifa yote yanayomusahau Mungu.