Psalms 9:19 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu! Usimwache binadamu ashinde. Uyakusanye mataifa mbele yako, uyahukumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, inuka, usimwache binadamu ashinde. Mataifa na yahukumiwe mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, usimame, mwanadamu asipate nguvu, Mataifa wahukumiwe mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu! Usimwache binadamu ashinde. Uyakusanye mataifa mbele yako, uyahukumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, inuka, usimwache binadamu ashinde, mataifa na yahukumiwe mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, inuka, usimwache binadamu ashinde. Mataifa na yahukumiwe mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Inuka, ee BWANA, mwanadamu asipate nguvu, Mataifa wahukumiwe mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Inuka, ee Mwenyezi-Mungu! Usimwache binadamu ashinde. Uyakusanye mataifa mbele yako, uyahukumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Inuka, Bwana, watu wasikaze nguvu, wamizimu wahukumiwe machoni pako!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, usimame, mwanadamu asipate nguvu, Mataifa wahukumiwe mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini wakosefu hawatasahauliwa siku zote; tumaini la wamasikini halitapotea milele.