Psalms 9:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nitafurahi na kushangilia kwa sababu yako; nitaliimbia sifa jina lako, ewe Mungu Mkuu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Nitafurahi na kushangilia ndani yako. Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nitafurahi na kushangilia kwa sababu yako; nitaliimbia sifa jina lako, ewe Mungu Mkuu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nitafurahi na kushangilia katika wewe, nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nitafurahi na kushangilia ndani yako. Nitaliimbia sifa jina lako, Ewe Uliye Juu Sana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nitafurahi na kukushangilia; Nitaliimbia sifa jina lako, Wewe Uliye juu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nitafurahi na kushangilia kwa sababu yako; nitaliimbia sifa jina lako, ewe Mungu Mkuu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa kufurahi nitakushangilia, nitaliimbia Jina lako wewe ulioko huko juu,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitakushukuru wewe Mungu kwa moyo wangu wote; nitayaeleza matendo yako yote ya ajabu.