Psalms 9:20 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Uyatie hofu, ee Mwenyezi-Mungu, watu wa mataifa watambue kuwa wao ni watu tu!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, wapige kwa hofu, mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana, uwawekee kitisho, Mataifa na wajijue kuwa ni binadamu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Uyatie hofu, ee Mwenyezi-Mungu, watu wa mataifa watambue kuwa wao ni watu tu!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, wapige kwa hofu, mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, wapige kwa hofu, mataifa na yajue kuwa wao ni watu tu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Uwatie hofu, ee BWANA, Watu wa mataifa na wajitambue kuwa wao ni binadamu tu!
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Uyatie hofu, ee Mwenyezi-Mungu, watu wa mataifa watambue kuwa wao ni watu tu!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakemee wamizimu, Bwana, kusudi wastushwe, kusudi wajitambue kuwa watu tu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA, uwawekee kitisho, Mataifa na wajijue kuwa ni binadamu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, simama sasa mwanadamu asishinde! Uyakusanye sasa hivi mataifa mbele yako, uyahukumu.