Psalms 9:3 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wakati ulipotokea, maadui zangu walirudi nyuma, walijikwaa na kuangamia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Adui zangu wamerudi nyuma, wamejikwaa na kuangamia mbele zako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma; Hujikwaa na kuangamia mbele zako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wakati ulipotokea, maadui zangu walirudi nyuma, walijikwaa na kuangamia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Adui zangu wamerudi nyuma, wamejikwaa na kuangamia mbele zako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Adui zangu wamerudi nyuma, wamejikwaa na kuangamia mbele zako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma; Hujikwaa na kuangamia mbele zako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wakati ulipotokea, maadui zangu walirudi nyuma, walijikwaa na kuangamia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
kwani adui zangu wamerudi nyuma, wakajikwaa, wakaangamia machoni pako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa sababu adui zangu hurudi nyuma; Hujikwaa na kuangamia mbele zako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nitafurahi na kushangilia kwa ajili yako; nitaliimbia sifa jina lako, ewe Mungu Mukubwa.