Psalms 9:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umenitetea kuhusu kisa changu cha haki; umeketi katika kiti chako cha enzi, ukatoa hukumu iliyo sawa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu; umeketi kwenye kiti chako cha enzi, ukihukumu kwa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana umenifanyia hukumu na haki Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umenitetea kuhusu kisa changu cha haki; umeketi katika kiti chako cha enzi, ukatoa hukumu iliyo sawa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu; umeketi kwenye kiti chako cha enzi, ukihukumu kwa haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana umetetea haki yangu na msimamo wangu; umeketi kwenye kiti chako cha enzi, ukihukumu kwa haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana umenifanyia hukumu na haki Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umenitetea kuhusu kisa changu cha haki; umeketi katika kiti chako cha enzi, ukatoa hukumu iliyo sawa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Maana umenipatia kushinda, nilipohukumiwa, ukakalia kiti cha uamuzi, utoe hukumu iongokayo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana umenifanyia hukumu na haki Umeketi kitini pa enzi ukihukumu kwa haki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui zangu walirudi nyuma, walijikwaa na kuangamia mbele yako.