Psalms 9:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Umeyakemea mataifa, umewaangamiza waovu; majina yao umeyafutilia mbali milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; umeyafuta majina yao milele na milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umewakemea mataifa; Na kumwangamiza mdhalimu; Umelifuta jina lao milele na milele;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Umeyakemea mataifa, umewaangamiza waovu; majina yao umeyafutilia mbali milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; umeyafuta majina yao milele na milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umekemea mataifa na kuwaangamiza waovu; umeyafuta majina yao milele na milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umewakemea mataifa; Na kumwangamiza mdhalimu; Umelifuta jina lao milele na milele;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Umeyakemea mataifa, umewaangamiza waovu; majina yao umeyafutilia mbali milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Umekaripia wamizimu, ukaangamiza wasiokucha, ukayafuta majina yao, yasiwepo tena kale na kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umewakemea mataifa; Na kumwangamiza mdhalimu; Umelifuta jina lao milele na milele;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeitetea haki yangu katika maneno yangu; umeikaa katika kiti chako cha kifalme, wewe mwamuzi wa haki.