Psalms 9:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maadui wameangamia milele; umeingolea mbali miji yao, kumbukumbu lao limetoweka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Uharibifu usiokoma umempata adui, umeing’oa miji yao; hata kumbukumbu lao limetoweka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Adui wamekoma na kuachwa ukiwa milele. Nayo miji yao uliing'oa; Hata kumbukumbu lao limepotea.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maadui wameangamia milele; umeing'olea mbali miji yao, kumbukumbu lao limetoweka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Uharibifu usiokoma umempata adui, umeing'oa miji yao, hata kumbukumbu lao limetoweka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Uharibifu usiokoma umempata adui, umeing’oa miji yao; hata kumbukumbu lao limetoweka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Adui wameangamia na kuwa magofu milele. Nayo miji yao uliing'oa; Hata kumbukumbu lao limepotea.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maadui wameangamia milele; umeingolea mbali miji yao, kumbukumbu lao limetoweka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Adui wamemalizika, nako walikokaa kutakuwa na maheme tu kale na kale, maana miji yao umeibomoa, kumbuko lao likaangamia.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Adui wamekoma na kuachwa ukiwa milele. Nayo miji yao uliing’oa; Hata kumbukumbu lao limepotea.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Umeyakaripia mataifa, umewaangamiza waovu; umeyafuta majina yao kwa milele.