Psalms 9:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali Bwana atakaa milele, Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana anatawala milele, ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali BWANA atakaa milele, Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini Mwenyezi-Mungu anatawala milele; ameweka kiti chake cha enzi apate kuhukumu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana hukaa kale na kale, akakisimika kiti chake, atoe hukumu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali BWANA atakaa milele, Ameweka kiti chake tayari kwa hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Waadui wameangamia milele; umeiongoa miji yao, ukumbusho wao umetoweka.