Psalms 9:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Anauhukumu ulimwengu kwa haki; anayaamua mataifa kwa unyofu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, atatawala mataifa kwa haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atauhukumu ulimwengu kwa haki; Atawaamua watu kwa adili.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Anauhukumu ulimwengu kwa haki; anayaamua mataifa kwa unyofu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, atatawala mataifa kwa haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mungu atahukumu ulimwengu kwa haki, atatawala mataifa kwa haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atauhukumu ulimwengu kwa haki; Atawaamua watu kwa uadilifu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Anauhukumu ulimwengu kwa haki; anayaamua mataifa kwa unyofu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yeye ndiye atakayeuhukumu ulimwengu kwa wongofu, ayaamue makabila ya watu kwa unyofu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atauhukumu ulimwengu kwa haki; Atawaamua watu kwa adili.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini Yawe anatawala milele; ameweka kiti chake cha kifalme, apate kuhukumu.