Psalms 90:1 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
(Sala ya Mose, mtu wa Mungu) Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalama wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana, wewe umekuwa makao yetu katika vizazi vyote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalama wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
(Maombi Ya Mose, Mtu Wa Mungu) BWANA, wewe umekuwa makao yetu katika vizazi vyote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana, wewe umekuwa makao yetu katika vizazi vyote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ee Bwana, tangu vizazi vyote, wewe umekuwa usalama wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana, wewe ndiwe kimbilio letu kwa vizazi na vizazi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wewe, Bwana, umekuwa makao yetu, Kizazi baada ya kizazi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maombi ya Musa, mutu wa Mungu. Ee Bwana, tangia vizazi vyote, wewe umekuwa usalama wetu.