Psalms 90:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nani anayetambua uzito wa hasira yako? Nani anayejali matokeo ya ghadhabu yako?
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako? Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako kama ipasavyo kicho chako?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nani anayetambua uzito wa hasira yako? Nani anayejali matokeo ya ghadhabu yako?
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako? Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni nani ajuaye nguvu za hasira yako? Kwa maana ghadhabu yako ni kubwa kama hofu tunayopaswa kuwa nayo kwako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako inayolingana na kicho chako?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nani anayetambua uzito wa hasira yako? Nani anayejali matokeo ya ghadhabu yako?
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini yuko nani azitambuaye nguvu za makali yako? Tena yuko nani ayaogopaye hayo machafuko yako?
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni nani aujuaye uweza wa hasira yako? Na ghadhabu yako kama ipasavyo kicho chako?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Nani anayetambua uzito wa hasira yako? Nani anayeona matokeo ya kasirani yako?