Psalms 90:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Urudi, ee Mwenyezi-Mungu! Utakasirika hata lini? Utuonee huruma sisi watumishi wako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ee Mwenyezi Mungu, uwe na huruma! Utakawia hata lini? Wahurumie watumishi wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ee Bwana urudi, hata lini? Uwahurumie watumishi wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Urudi, ee Mwenyezi-Mungu! Utakasirika hata lini? Utuonee huruma sisi watumishi wako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ee BWANA, uwe na huruma! Utakawia hata lini? Wahurumie watumishi wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ee bwana, uwe na huruma! Utakawia hata lini? Wahurumie watumishi wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Urudi, Ee BWANA utakasirika hadi lini? Wahurumie watumishi wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Urudi, ee Mwenyezi-Mungu! Utakasirika hata lini? Utuonee huruma sisi watumishi wako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Rudi, Bwana! Utatukalia mbali mpaka lini? Walio watumishi wako wahurumie!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ee BWANA urudi, hata lini? Uwahurumie watumishi wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ee Yawe, urudie! Utakasirika mpaka wakati gani? Utuonee huruma sisi watumishi wako.