Psalms 90:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utushibishe fadhili zako asubuhi, tushangilie na kufurahi maisha yetu yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tushibishe asubuhi kwa upendo wako usiokoma, ili tuweze kuimba kwa shangwe na kufurahi siku zetu zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utushibishe fadhili zako asubuhi, tushangilie na kufurahi maisha yetu yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Asubuhi tushibishe upendo wako usiokoma, ili tuweze kuimba kwa shangwe na kufurahi siku zetu zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tushibishe asubuhi kwa upendo wako usiokoma, ili tuweze kuimba kwa shangwe na kufurahi siku zetu zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utushibishe fadhili zako asubuhi, tushangilie na kufurahi maisha yetu yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tushibishe upole wako kila kunapokucha! Ndivyo, tutakavyoshangilia kwa furaha siku zetu zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utushibishe asubuhi kwa fadhili zako, Nasi tutashangilia na kufurahi siku zetu zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utushibishe wema wako kila asubui, tupate kushangilia na kufurahi maisha yetu yote.