Psalms 90:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utujalie sasa miaka mingi ya furaha, kama ulivyotupa miaka mingi ya shida na taabu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu, kulingana na miaka tuliyotaabika.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utufurahishe kwa kadiri ya siku ulizotutesa, Kama miaka ile tuliyoona mabaya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utujalie sasa miaka mingi ya furaha, kama ulivyotupa miaka mingi ya shida na taabu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu, kulingana na miaka tuliyotaabika.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utufurahishe kulingana na siku ulizotuadhibu, kulingana na miaka tuliyotaabika.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utufurahishe kwa kadiri ya siku ulizotutesa, Miaka sawa na ile tuliyopatwa na maovu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utujalie sasa miaka mingi ya furaha, kama ulivyotupa miaka mingi ya shida na taabu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Siku za kutufurahisha ziwe sawasawa nazo, ulizotutesa, ziwe miaka mingi, kama ilivyokuwa ile ya kuona mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utufurahishe kwa kadiri ya siku ulizotutesa, Kama miaka ile tuliyoona mabaya.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)