Psalms 90:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utuoneshe matendo yako sisi watumishi wako; uwaoneshe wazawa wetu uwezo wako mtukufu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, utukufu wako kwa watoto wao.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, Na adhama yako kwa watoto wao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utuoneshe matendo yako sisi watumishi wako; uwaoneshe wazawa wetu uwezo wako mtukufu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, utukufu wako kwa watoto wao.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, utukufu wako kwa watoto wao.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, Na utukufu wako kwa watoto wao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utuoneshe matendo yako sisi watumishi wako; uwaoneshe wazawa wetu uwezo wako mtukufu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, nao utukufu wako kwa wana wao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Matendo yako na yaonekane kwa watumishi wako, Na adhama yako kwa watoto wao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utuonyeshe matendo yako sisi watumishi wako; uwaonyeshe wazao wetu utukufu wako.