Psalms 90:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utufadhili ee Bwana, Mungu wetu; uzitegemeze kazi zetu, uzifanikishe shughuli zetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wema wa Bwana Mungu wetu uwe juu yetu; uzithibitishe kazi za mikono yetu: naam, uzithibitishe kazi za mikono yetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na uzuri wa Bwana, Mungu wetu, uwe juu yetu, Na kazi ya mikono yetu utufanyie thabiti, Naam, kazi ya mikono yetu uithibitishe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utufadhili ee Bwana, Mungu wetu; uzitegemeze kazi zetu, uzifanikishe shughuli zetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wema wa BWANA Mungu wetu, uwe juu yetu; uzithibitishe kazi za mikono yetu: naam, uzithibitishe kazi za mikono yetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wema wa bwana Mwenyezi Mungu wetu uwe juu yetu; uzithibitishe kazi za mikono yetu: naam, uzithibitishe kazi za mikono yetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na fadhili za BWANA, Mungu wetu, ziwe juu yetu, Na kazi ya mikono yetu uifanye thabiti, Naam, kazi ya mikono yetu uifanikishe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utufadhili ee Bwana, Mungu wetu; uzitegemeze kazi zetu, uzifanikishe shughuli zetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wema wake Bwana Mungu wetu na utukalie! Kazi za mikono yetu zifanikishe kwetu! Kazi za mikono yetu uzifanikishe kweli!*
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na uzuri wa BWANA, Mungu wetu, uwe juu yetu, Na kazi ya mikono yetu utufanyie thabiti, Naam, kazi ya mikono yetu uithibitishe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utuonyeshe uzuri wako, ee Bwana, Mungu wetu; uimarishe kazi zetu, uziimarishe.