Psalms 90:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kabla ya kuwapo milima, kabla hujauumba ulimwengu; wewe ndiwe Mungu, milele na milele.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kabla ya kuzaliwa milima au hujaumba dunia na ulimwengu, wewe ni Mungu tangu milele hata milele.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kabla ya kuwapo milima, kabla hujauumba ulimwengu; wewe ndiwe Mungu, milele na milele.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kabla ya kuzaliwa milima au hujaumba dunia na ulimwengu, wewe ni Mungu tangu milele hata milele.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kabla ya kuzaliwa milima au hujaumba dunia na ulimwengu, wewe ni Mungu tangu milele hata milele.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kabla ya kuwapo milima, kabla hujauumba ulimwengu; wewe ndiwe Mungu, milele na milele.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Milima ilipokuwa haijazaliwa bado, hata nchi na ulimwengu zilipokuwa hazijaumbwa bado, wewe Mungu ulikuwa uko tangu kale hata kale.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kabla haijazaliwa milima, wala hujaiumba dunia, Na tangu milele hata milele ndiwe Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mbele milima haijakuwa, mbele haujauumba ulimwengu, wewe ndiwe Mungu, milele na milele.