Psalms 90:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwako miaka elfu ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha pita; kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku!
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa maana kwako miaka elfu ni kama siku moja iliyokwisha pita, au kama kesha la usiku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana miaka elfu machoni pako Ni kama siku ya jana ikiisha kupita, Na kama kesha la usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwako miaka elfu ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha pita; kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku!
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana kwako miaka elfu ni kama siku moja iliyokwisha pita, au kama kesha la usiku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa maana kwako miaka elfu ni kama siku moja iliyokwisha pita, au kama kesha la usiku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana miaka elfu machoni pako Ni kama siku ya jana ikiisha kupita, Na kama kesha la usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwako miaka elfu ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha pita; kwako ni kama mkesha mmoja wa usiku!
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani machoni pako miaka elfu ni kama siku ya jana, ikiisha kupita, au kama zamu moja ya usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana miaka elfu machoni pako Ni kama siku ya jana ikiisha kupita, Na kama kesha la usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwako miaka elfu moja ni kama siku moja tu, ni kama jana ambayo imekwisha pita, ni kama makesha ya usiku mumoja.