Psalms 90:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wawafutilia mbali watu kama ndoto! Binadamu ni kama nyasi zinazochipua asubuhi:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wawagharikisha, huwa kama usingizi, Asubuhi huwa kama majani yameayo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wawafutilia mbali watu kama ndoto! Binadamu ni kama nyasi zinazochipua asubuhi:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Unawatowesha wanadamu katika usingizi wa kifo, nao ni kama majani machanga ya asubuhi:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wawafutilia wanadamu mbali kama ndoto, wao ni kama majani yameayo asubuhi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wawafutilia mbali watu kama ndoto! Binadamu ni kama nyasi zinazochipua asubuhi:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kama watu wanavyochukuliwa na maji, ndivyo, unavyowadidimiza; kama usingizi wa asubuhi ulivyo, ndivyo, walivyo nao, au kama maua yanayochanua upesi:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wawagharikisha, huwa kama usingizi, Asubuhi huwa kama majani yameayo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Unatowesha mbali watu kama ndoto! Wanadamu ni kama majani yanayochipuka asubui: