Psalms 90:6 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Asubuhi huchipua na kuchanua, jioni zimekwisha nyauka na kukauka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Asubuhi yachipuka na kumea, Jioni yakatika na kukauka.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
asubuhi huchipua na kuchanua, jioni zimekwisha nyauka na kukauka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
ingawa asubuhi yanachipua, ifikapo jioni huwa yamenyauka na kukauka.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Asubuhi yachipuka na kumea, Jioni yakatika na kukauka.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Asubuhi huchipua na kuchanua, jioni zimekwisha nyauka na kukauka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
asubuhi hupasua na kuchanua, jioni hupakatika na kunyauka.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Asubuhi yachipuka na kumea, Jioni yakatika na kukauka.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
asubui yanachipuka na kuchanua, magaribi yamekwisha nyauka na kukauka.