Psalms 90:7 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hasira yako inatuangamiza; tunatishwa na ghadhabu yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana tumetoweshwa kwa hasira yako, Na kwa ghadhabu yako tumefadhaishwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hasira yako inatuangamiza; tunatishwa na ghadhabu yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumeangamizwa kwa hasira yako na tumetishwa kwa ghadhabu yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana tumeangamia kwa hasira yako, Na kwa ghadhabu yako tumezidiwa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hasira yako inatuangamiza; tunatishwa na ghadhabu yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani tunamalizika kwa makali yako, maana tunatoweshwa na moto wa machafuko yako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana tumetoweshwa kwa hasira yako, Na kwa ghadhabu yako tumefadhaishwa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hasira yako inatuangamiza; tunatishwa na kasirani yako.