Psalms 90:8 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maovu yetu umeyaweka mbele yako; dhambi zetu za siri ziko wazi mbele yako.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Umeyaweka maovu yetu mbele zako, Siri zetu katika mwanga wa uso wako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maovu yetu umeyaweka mbele yako; dhambi zetu za siri ziko wazi mbele yako.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za sirini katika nuru ya uwepo wako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Umeyaweka maovu yetu mbele yako, dhambi zetu za siri katika nuru ya uwepo wako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Umeyaweka maovu yetu mbele zako, Dhambi zetu za siri katika mwanga wa uso wako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maovu yetu umeyaweka mbele yako; dhambi zetu za siri ziko wazi mbele yako.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Manza, tulizozikora, unaziweka machoni pako, makosa, tuliyoyaficha, hutokea mwangani mwa uso wako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Umeyaweka maovu yetu mbele zako, Siri zetu katika mwanga wa uso wako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maovu yetu umeyaweka mbele yako; zambi zetu za siri ziko wazi mbele yako.