Psalms 90:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hasira yako maisha yetu yatoweka, yanaisha kama pumzi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana siku zetu zote zimepita katika hasira yako, Tumetowesha miaka yetu kama kite.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hasira yako maisha yetu yatoweka, yanaisha kama pumzi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tumeishi siku zetu zote chini ya ghadhabu yako, tunamaliza miaka yetu kwa kuomboleza.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana kwa hasira yako maisha yetu yanapita haraka, Maisha yetu yanaisha kama kite.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hasira yako maisha yetu yatoweka, yanaisha kama pumzi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwa hiyo siku zetu zote zinapita upesi kwa machafuko yako, tunaimaliza miaka yetu kuwa kama mapuzi tu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana siku zetu zote zimepita katika hasira yako, Tumetowesha miaka yetu kama kite.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hasira yako maisha yetu yanatoweka, yanaisha kama pumzi.