Psalms 91:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
basi hakuna madhara yatakayokupata wewe, hakuna maafa yatalikaribia hema lako.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
basi hakuna madhara yatakayokupata wewe, wala maafa hayataikaribia hema yako.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
basi hakuna madhara yatakayokupata wewe, hakuna maafa yataikaribia hema yako.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, hutapatwa na maafa yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na baa lolote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hakuna kibaya kitakachokufikia mwako nyumbani, wala hakuna pigo litakalokikaribia kituo chako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mabaya hayatakupata wewe, Wala tauni haitaikaribia hema yako.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa hiyo, hautapatwa na hasara yoyote; nyumba yako haitakaribiwa na pigo lolote.