Psalms 91:11 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Maana Mungu atawaamuru malaika zake, wakulinde popote uendapo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa atawaagiza malaika wake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Maana Mungu atawaamuru malaika zake, wakulinde popote uendapo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa atawaagiza malaika zake kwa ajili yako, wakulinde katika njia zako zote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa atakuagizia malaika wake Wakulinde katika njia zako zote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Maana Mungu atawaamuru malaika zake, wakulinde popote uendapo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani atakuagizia malaika zake, wakulinde katika njia zako ziwazo zote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa atakuagizia malaika zake Wakulinde katika njia zako zote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Maana Mungu atawaamuru wamalaika wake, wakulinde popote unapoenda.