Psalms 91:12 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watakuchukua mikononi mwao, ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mikononi mwao watakuinua, ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mikononi mwao watakuinua, ili usijikwae mguu wako kwenye jiwe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watakuchukua mikononi mwao, usije ukajikwaa kwenye jiwe.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watakuchukua mikononi mwao, usije kujikwaa mguu wako katika jiwe.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mikononi mwao watakuchukua, Usije ukajikwaa mguu wako katika jiwe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watakuchukua katika mikono yao, kusudi usijikwae kwenye jiwe.