Psalms 91:13 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Utakanyaga simba na nyoka, utawaponda wana simba na majoka.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Utawakanyaga simba na nyoka wakali, simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Utawakanyaga simba na nyoka, Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Utakanyaga simba na nyoka, utawaponda wana simba na majoka.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Utawakanyaga simba na nyoka wakali, simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Utawakanyaga simba na nyoka wakali, simba mkubwa na nyoka utawaponda kwa miguu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Utawakanyaga simba na nyoka, Mwanasimba na joka utawakanyaga kwa miguu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Utakanyaga simba na nyoka, utawaponda wana simba na majoka.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Utakanyaga simba nao nyoka, utaponda kwa mateke wana wa simba nao nondo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Utawakanyaga simba na nyoka, Mwana-simba na joka utawaseta kwa miguu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Utakanyaga simba na nyoka wa hatari, utawaponda simba wakali na nyoka.